Baadhi ya WanaCHADEMA waanza kuachiwa, yumo Pambalu wa BAVICHA

Kinachosababisha nicheke Ni hivi, yaani gaidi anavumilia baada ya wenzake 6 kukamatwa halafu hakimbii.....
 
... of course magaidi hatari yameanza kuachiwa baada ya tangazo rasmi la serikali kuharamisha mikusanyiko kupambana na Uviko-19. Walikuwa wanalipua miundombinu ya nchi kwa Uviko-19 hawa! Sasa ugaidi wao umedhibitiwa.
 
Mungu ibariki CHADEMA
 
Usipotoshe, gaidi ni mmoja tu ''Mbowe"
 
Mwenye tuhuma za Ugaidi ni Mbowe. Usihamishe magoli, subirini apandishwe kizimbani mbaki midomo wazi.
 
Kinachofanya niwatetee chadema ni mabavu yanayitumiwa na ccm kuwanyamazisha. Siioni Tanzania inayosonga mbele katika kutumia mtutu wa bunduki kuwaziba watu midomo wasiongee mustakabali wa taifa lao. Ccm washindane kwa hoja, kutegemea bunduki kunawashusha uwezo wa kujenga hoja.




Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hii nchi haina kabisa utawala wa sheria..mambo ni hovyo hovyo.
 
polisi ilikua inajaribu kuisambaratisha chadema kwa gia ya UGAIDI kama ilivotumika kuisambaratisha CUF bara enzi zamkapa

Polisi hawakutazama kizazi cha sasa hili ccm litawakost

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Magaidi tena wanaopanga kuua viongozi wakubwa wa umma huwa wanaachiwa huru?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…