PostGE2025 Baadhi ya wanachi waomba maandamano ya Disemba 9 yasitishwe wakiohofia madhara yanayoweza kutokea

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Baadhi ya wanawake wameomba waomba maandamano ya Disemba 9 yasitishwe wakiohofia madhara yanayoweza kutokea. Wakilinganisha na yale yaliyotokea October 29 na baada ya hapo.

Wananchi hao wameeleza kuwa wanahofia biashara zao kusitishwa na hivyo kuwafanya kukosa chakula na mahitaji yao ya kila siku.
Your browser is not able to display this video.
 
Baadhi ya wanawake wa Mkoa wa Dar es salaam na Dodoma wamewaasa vijana mbalimbali nchini kutoshiriki matukio ya Uvunjifu wa Amani yanayopangwa kufanyika Disemba 9, 2025 badala yake siku husika waadhimishe Siku ya Uhuru kwa kuitunza na kudumisha Amani ya nchi.

Wametoa kauli hiyo wakati wakitoa maoni ya kuwasihi vijana kuwa wasikivu na kutojihusisha na matukio ya Uvunjifu wa amani yanayopangwa na wasiotakia mema Tanzania, ambapo wamesema kuwa kilichotokea Oktoba 29, ibaki kuwa kumbukumbu ambayo haitakiwi kujirudia tena.

Wameongeza kuwa hatua ya watu kuvunjiwa na kuibiwa mali zao, watu kupoteza maisha, uharibifu wa miundombinu na pamoja kufungiwa ndani havipaswi kujirudia tena na njia pekee ya kuzuia isijirudie ni vijana kutoshiriki matukio ya uvunjifu wa umani yaliyopangwa Disemba 29.
 
SAFARI HII AJARIBU KUTOKA MTU ATAKULA SHABA ZA MAANA AKAWAHI NUMBER MBINGUNI
 
'Wasioitakia mema nchi yetu' ni Samia na genge lake waliokataa kusikiliza vilio vya wananchi kutokana na mambo wanayowatendea!

Hadi leo wanaendeleza yale yale ya kuteka na kuua watu na kuendelea kuwashikilia wanasiasa waliowabambikia kesi za uongo.

Hawataki kukabidhi miili ya wahanga wa D9 kwa ndugu zao wakazike.

Hao kinamama kama hawana uchungu na maisha ya wengine na wamehongwa hela ili kuitetea Serikali haramu, wache kuonesha upumbaf wao.

Tumeshachoshwa na matamko ya kichawa chawa sisi.
 
Hawa wajinga wanawaza biashara zao! Vp Kwa wale waliouwawa!? Na nyie kufeni njaa tuikomboe nchi.
 
Pumbavu wewe. Yaani uko tayari kuuza utu, haki yako kwa ajili ya tumbo. Pumbavu sana wewe
 
Maandamano ni haki ya kikatiba.

Asisitize haki, ilete amani, hata hayo maandamano yasihitajike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…