A
Anonymous
Guest
Chuo Kikuu cha Dodoma hakijapeleka baadhi ya taarifa za wanafunzi kwenda Bodi ya Mkopo, mpaka hivi sasa karibu asilimia 40 ya Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza hawajapata fedha zao za kujikimu, na pia kuna baadhi ya course.
Kwa wale continuous hawajapata pesa zao pia, kila tukijaribu kuwasilisha malalamiko Kwa loan officer wa chuo anasema atashughulikia.
Hii ni week ya nne sasa.
Kwa wale continuous hawajapata pesa zao pia, kila tukijaribu kuwasilisha malalamiko Kwa loan officer wa chuo anasema atashughulikia.
Hii ni week ya nne sasa.