Baadhi ya wanafunzi kutumia "Surnames" za makabila zisizo na staha ya Kiswahili haitaleta ukakasi wakija kuwa viongozi wa umma??

Kwa hilo nimekuelewa
 
Achilia mbali wakija kuwa viongozi...najaribu kufikiria huko shuleni wana maisha gani, si wananyanyasika sana na hayo majina jamani
Yaani kuna majina ambayo hayana hata msingi. Nakumbuka nilienda field huko vijijini usukumani nikakuta mtoto wa darasa la nne anaitwa NYEGE. Sikukubali hadi nilienda kwa mama yake nikamuuliza kulikoni mtoto kumuita hivyo, akajibu eti, mtoto alilia hilo jina (mizimu) ilitaka aitwe hivyo ni jina la babu zake wa zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…