Baadhi ya wanasiasa wamuomba Rais Kenyatta kulivunja Baraza la Mawaziri kutokana na nchi kufilisika

Hivi wewe,hayo macho yako ni vidonda au?,nimekwambia sukari ipo,isipokuwa wafanyabiashara hutegea wakati wa Ramadhan kuficha sukari ili wa"create scarcity" wapate faida,mbona nyinyi mnajenga flyovers, mna nunua silaha kwa gharama kubwa,mnajenga maghorofa Nairobi wakati wananchi wenu wanachemshia watoto wao mawe?Tatizo la sukari ni la muda mfupi,ila nyinyi mmeisha funga ndoa na njaa!
 
you dumb or something, sione neno sukari hapa!!!!!
you can fool some people sometimes but you cant all people all the times!!

"Miaka 5 mnajenga Reli, Mnajenga flyovers, mnajenga Bwawa la Umeme, mnanunua madege makubwa ma Dreamliner
@halimamdee
hizo ni akili au matope?"
@zittokabwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…