Baadhi ya wanaume jamani punguzeni umbea

Baadhi ya wanaume jamani punguzeni umbea

Wa-kishua

Member
Joined
Apr 10, 2021
Posts
29
Reaction score
24
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu zamani tulikiwa tunajua wanawake ndo wambea lakini sasa hivi naona na wenzetu was nao hawataki kupitwa jamani naomba muacheeee
 
Uhaini wako ukianikwa ni umbea 😂😂
 
Siku nanyie mkipunguza njaa basi hamtosikia wanaume kuongea😂
 
Back
Top Bottom