Nao wanakusanya mapato ๐๐๐Siku nanyie mkipunguza njaa basi hamtosikia wanaume kuongea๐
Sema Kinondoni mkuu..........Wa Makabe, Chanika, Kibamba, Bunju, Kibada hawana muda huo.........ungesema Kinondoni hapo nisingekupinga ๐คฃ๐คฃ๐Wanaume wa dar hao.
Wa huku mkoani tuko tunalima.
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app