Baadhi ya wanaume mnapaswa Kubadilika

Kindness_cu

Member
Joined
Dec 29, 2022
Posts
96
Reaction score
151
Wanaume siku hizi mmekuwa wambea sana kuliko wanawake, mwanaume kabisa unakaa kijiweni unamjadili mwanamke au unataka kushindana na mtoto wakike huo ni ujinga.

Mwanaume mzuri hanaga mambo mengi, haongei sana wala hana muda wakuzozana lakini mwanaume una kuwa na gubu nani atakutaka ata ukija na magari sikubali.

Pungezi hizi tabia some of men not all men, some of you are so good.
 
👋👋👋👋👋👋👋🧑
 
Sema umekutana na kimarioo
 
Pole kwa yaliyokukuta hili jiji ulilishambulia kwa Pupa, huo ni wimbo wa msanii P The MC sijasema mimi

P The MC - Huna Jipya
 
Jifunze walau basi kuandika vema na kupangilia hoja yako vizuri. Weka nukta au mkato panapostahili.

Nimehighlight baadhi ya maneno ambayo ulipaswa kuyaweka vizuri kwa namna ya kueleweka.
 
Jifunze walau basi kuandika vema na kupangilia hoja yako vizuri. Wela nukta au mkato panapostahili.

Nimehighlight baadhi ya maneno ambayo ulipaswa kuyaweka vizuri kwa namna ya kueleweka.
Mh sidhani kama ni muhimu ujumbe umeeleweka inatosha
 
Aibu nimeona mimi.
Kweli huyo aliyekuoenda apewe zawadi.
Mwanamke wa hovyo hovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…