EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Leo nikiwa naendelea kusafu FB, mara nikapokea ombi la urafiki kwa binti mmoja. Mara baada tu ya kumkubali maongezi yalikuwa hivi.
Binti. Hi
Mimi. Hi mambo
Binti. Unapatikana wapi
Mimi. Napatikana Dar
Binti. Mimi napatikana Arusha ila nyumbani Dar.
Mimi. Okay. gud
Binti. Sikia basi nitumie elfu mbili kwenye mpesa ili tuchati kwa watsap saivi ntakua ofline.
Mimi. Hilo haliwezekani. Kwani mimi ndio nimekwambia ninashida na wanawake sana.
Binti. Okay
Mimi. Mnaacha kufanya kazi mnawaza kufanya utapeli wa kwasababu mmepewa papuchi.
Mimi. Hivi hamwigi mifano kwa kina Shishi na akina Zuchu wanavyojituma kutafuta. Mtategemea hizo papuchi mpaka lini.
Binti. Fara we kwanini ninyi msijilinganishe na akina mondi.
Mimi. Tafuta jitume achana na mambo yakutegemea papuchi.
Mimi. Nikaenda kwenye profile yake nika unfriend haraka haraka.
Kama yupo humu ndani ujumbe umefika.
Najua kuna watu watabeza nikisema elfu 2. Hawa matapeli wa Facebook wanatumia akaunti nyingi. Anachofanya anaomba elfu mbili kwa watu zaidi ya 50 kwa siku. Zidisha hapo ni sh ngapi. Na hiyo ndio hesabu yake kila wiki. Hivyo ndivyo wanavyofanya, huyu sio kwanza mimi huyu ni wa nne.