Baadhi ya wanawake facebook ni matapeli

tapeli kweli hawezi omba 2000/ tu jombaa wale wana mitego ya kubutua kweli kweli
 
Dah anawaua live hela inahitajo nidhamu Sana..
 
Alokwambia huyo ni binti Nani? Kidume hicho
 
Bro Kuna watu watakudharau eti wew ni masikini kisa hujatoa hyo buku mbili,nikupongeze kwa uthubutu huo.

Heshimu pesa yako,siyo kutoa toa ovyo.
Kabisa chief watu watabeza sana lakini hata akina Bakhlesa wapo hivyo
 
Alikuwa kwenye utafutaji katika uchumi wa Kati🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umejuaje Kama sio.Umbea..mwanaume.mzima unakaza KUWAZA Kama wanao.mtongoza wanavaa condom or not...

Tatizo lako UMBEA NA KUKOSA LA.KUFANYA...Badilika.mkuu waza yako
 
Umejuaje Kama sio.Umbea..mwanaume.mzima unakaza KUWAZA Kama wanao.mtongoza wanavaa condom or not...

Tatizo lako UMBEA NA KUKOSA LA.KUFANYA...Badilika.mkuu waza yako
Naona nimekulega na tabia zako hizo za kugawa kwa hela badilika . Vinginevyo utaendelea kufumuliwa marinda
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nakuunga mkono hoja ndugu yangu mademu type hiyo wapo wengi san, mi kuna 1 yaan tumeanza salamu tu akaniambia ana njaa anaomba nomtumie 10,000 nikatemana naye chapu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nina njaa nitumie 10,000/ nikale
 
Elf mbili kama elf mbili kweli tumefika pabaya
Ajabu sasa unamfungulia uzi kisa umeombwa 2000 ebu njoon mnisaidie kushang'aa huku
2000 pekee ndo imekuleta mbio kufungua siridi? dah! huyo wala si tapeli alikua na shida ya vocha tu ungemsaidia mkuu, matapeli wanamitego mikali then unapoingia wanakupiga pesa ndefu na sio kibuku mbili.
Una hali mbaya sana mkuu, yani kuombwa sh elfu 2 tu yakakutoka maneno yote hayo
Mnasikitisha sana! Mnadhani kuombwa hela(hata iwe buku) na kutoa ovyo ndio uanaume? Hivi mnadhani huyo aliyeomba buku mbili ni mwanamke kweli? Unatoaje hela kwa mtu usiyemjua?

Again, mnasikitisha!
 
Mnasikitisha sana! Mnadhani kuombwa hela(hata iwe buku) na kutoa ovyo ndio uanaume? Hivi mnadhani huyo aliyeomba buku mbili ni mwanamke kweli? Unatoaje hela kwa mtu usiyemjua?

Again, mnasikitisha!
wewe ndio unasikitisha kuobwa hela iwe buku au jero nikitu chakawaida na unaiari kutua au kuacha kinachotushangaza ni baada ya kuobwa hela kwanza amemaliza maneno kwa huyo dada ameona haitoshi akaja kulalamika huku huo niumasikin wa nafc ukiwemo wewe wewe hutoi na unazuia na wengine wasitoe
 
Hivi unajua tendency ya hawa wanaoomba hela huko mitandaoni inavyoongezeka? Asiookuja mtu kuleta awareness si hii tabia itaongezeka? Au unadhani kaleta ili kujionyesha, mbona vijana mnakuwa wajinga hivi?

Bado nasisitiza mnasikitisha!
 
hulazimishwi kutoa unatoa kwa mahaba yako au kwa ujinga wako kumbuka hapa ni mjin mkuu
 
tatizo hawaombi elf 2 kwa mwanaume mmoja, anaweza kuwaomba kma wanaume 10, mwisho wa siku wote wakituma mwanamke anakua kaingiza elf 20 bila hata kutoa jasho.

huo ni utapeli kama mtoa mada anavyosema.. namuunga mkono
 
umeshasema anaomba na kwa payo lako ukiona maziwa saa 6 au tako kubwa unatoa narudia unatoa mwenyewe bila kulazimishwa waache watukamue tu mtu inakuwa hushuhudii nyufa km fundi mwashi kila nyufa unayoina eti hii nikiweka chuma hapa haha ha mkuu huko saw ila nachangasha baraza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…