Baadhi ya wanawake hula kondo mara baada ya kujifungua

Hapa mnazungumzia wanawake wa binadamu au wanawake wa ng'ombe!!![/QUOTE]

mi mwenyewe nashangaa
 
Nimebaki kucheka tu na hizi comments
 
wamama mlioshawahi ujifungua embu leteni mrejesho wenu hapa hili swala likoje kwenu!!! mlishawahi kufanya hivi au hata ama kushawishiwa kufanya hivi au kumuona jirani yako akifanya hivi
?
 
Duh!, sijawahi kuona aisee, pamoja na kuleta viumbe wawili duniani hata kondo silijui linafananaje
 
Hahahaha, mke wangu naomba asile, ntamtimua
 

Chanzo:bbc
 
hii nayo ni habari ya kisiasa???

cc
mods - pelekeni jf doctor
 
Duu hii kiboko si utatapika hadi visivyotoka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…