torvic
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 3,978
- 9,841
Panya Road nia zao mbaya ni pamoja na kuiba, kupora, kusumbua jamii na kuuwa. lakini panya road wanafanya hivyo kwa direct way. yani watakuwa presentable kwa kile kibaya wanachofanya.
Najiuliza...
Hivi hawa wanawake wa siku hawawezi kuwa panya road wanaofanya kazi undercover kama wale CIA?
Yaani mwanaume unaibiwa, unatapeliwa, unasumbuliwa na ukizingua sana unaweza kuwahishwa mbele za haki. huo sio upanya road lkn ni inderect way?
wanawake wa sasa ebu acheni kazi za upanya road (undercover) wanaume tuna makuzudi makubwa sana hapa duniani.