Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Ukweli ndio huo atakaekasilika sina habari nae na atakaenichukia sina mpango nae...
Baadhi yao wamekaa kazi kudanga na kuvuruga ndoa za wenzao kazi yao kubwa kutoa vishawishi miongoni mwetu sisi kwa akina baba.
Ndio maana ndoa nyingi siku hizi zinavunjika na azidumu kwa sababu ya hii mikitu kutoka miongoni mwao akina dada wadangaji na mavazi yao ya kimitego mitego wengine kufikia kuonyesha mpaka mapaja nje na michachandu mwa mwa mwaaa! Nje nje tena wengine wanawafanyia makusudi kabisa hata mashemeji zao.
Huku mnakoelekea siko kabisa wanawake
Narudia tena kusema hapa sijamtaja mtu na wala sijamsema mtu... Kama wapo wenye tabia hii Naombeni muache mara moja ukikasilika kasilika na ukichukia chukia ndio tutajua tabia yako ndio ilivyo...
Nb: watoto wa mtaani wanaongezeka kwa kukosa huduma na malezi bora kutoka pande zote mbili kwa baba na mama unamkoseha elimu bora nyumbani huduma ya chakula nk.inapungua chanzo uhuni na udangaji matokeo yake kusambaratisha ndoa za wenzenu
NAWASILISHA.
Sent using Jamii Forums mobile app