Nimekua mke kwa miaka 8
Nimekufanyia yote yanayopaswa mke kumfanyia Mumewe
Nimekutunzia wadogo zako na kuhitimu elimu zao chini ya uangaliz wangu,mwingine akapata kazi na mwingine anaendesha biashara ya familia
Nikakuzalia watoto
Alafu leo unakwenda kwa wadangaji, my friend ukienda we nenda nyuma ya kisogo changu lakini siku ukienda mbele ya uso wangu tutagawana chaga wewe ya kichwani mimi ya miguuni
Nitavumilia shida,nitavumilia maradhi nitavumilia hali ngumu lakini si umalaya mbele ya macho yangu
Ikifika hatua hiyo basi itakua "Bora yeshe"
Sent using
Jamii Forums mobile app