Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
BAWACHA wakiwasili katika viwanja vya Posta ya zamani, Dar es Salaam tayari kuanza maandamano kuelekea ofisi ndogo za Bunge Dar es Salaam.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha nikajiunge nao niwe nyuma yaoHawataki Nusu Mkate
Wana vibe siyo la kitotoBAWACHA wakiwasili katika viwanja vya Posta ya zamani, Dar es salaam tayari kuanza maandamano kuelekea ofisi ndogo za Bunge Dar es Salaam.
View attachment 2617594
View attachment 2617597
View attachment 2617601
View attachment 2617602
View attachment 2617603
Wenzenu wanapulizwa na Ac bungeni saizi nyie mnajisumbua na jua lote ili hao hadi 2025 nimekaa hapa nawaangaliaBAWACHA wakiwasili katika viwanja vya Posta ya zamani, Dar es salaam tayari kuanza maandamano kuelekea ofisi ndogo za Bunge Dar es Salaam.
View attachment 2617594
View attachment 2617597
View attachment 2617601
View attachment 2617602
View attachment 2617603
Mbatizaji, hivi umechungulia viatu walivyo vaa?😛Hawataki Nusu Mkate
Acha kuangalia mambo madogomadogo inaonekana wewe ni rahisi kuigiziwa, viatu si hoja, kikubwa ujumbe umefika.Mbatizaji, hivi umechungulia viatu walivyo vaa?😛
Haki ya nani..
Nimekurupuka na kuomba faraga kazini ili nije kuchungulia ,Stilleto!
Tena bila siagi🤣🤣🤣Hawataki Nusu Mkate
Umeona kabisa nimemtaja Mbatizaji. Yeye ndie anayeelewa nimemaanisha nini hapo, wewe umekurupuka na vijitusi hivyo na ID la kutukana, kafue chupi kwanza.Acha kuangalia mambo madogomadogo inaonekana wewe ni rahisi kuigiziwa, viatu si hoja, kikubwa ujumbe umefika.