Baadhi ya Wanawake wa CHADEMA wanaandamana kudai katiba mpya na kutaka Wabunge 19 waondolewe Bungeni

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
BAWACHA wakiwasili katika viwanja vya Posta ya zamani, Dar es Salaam tayari kuanza maandamano kuelekea ofisi ndogo za Bunge Dar es Salaam.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Mbatizaji, hivi umechungulia viatu walivyo vaa?😛
Haki ya nani..
Nimekurupuka na kuomba faraga kazini ili nije kuchungulia ,Stilleto!
Acha kuangalia mambo madogomadogo inaonekana wewe ni rahisi kuigiziwa, viatu si hoja, kikubwa ujumbe umefika.
 
Acha kuangalia mambo madogomadogo inaonekana wewe ni rahisi kuigiziwa, viatu si hoja, kikubwa ujumbe umefika.
Umeona kabisa nimemtaja Mbatizaji. Yeye ndie anayeelewa nimemaanisha nini hapo, wewe umekurupuka na vijitusi hivyo na ID la kutukana, kafue chupi kwanza.

Au , ulitaka niseme nini? kwamba ninayo yaona ni makubwa! Ehhh

Halima Mdee for Vice President. Hutaki, kavae Stileto.
 
Mkuu hiyo heading haiko sawa.
??
Je ni "Baadhi ya Wanawake wa CHADEMA waandamana...."

AU

"BAWACHA waandamana...."
?? ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…