Baadhi ya wanyama kukasirika na kupigana wanapojiona wenyewe kwenye kioo. Je, ni kutojitambua au matatizo ya akili?

Baadhi ya wanyama kukasirika na kupigana wanapojiona wenyewe kwenye kioo. Je, ni kutojitambua au matatizo ya akili?

Nikola24

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2024
Posts
222
Reaction score
517
Habari zenu wana jamifourm!

Leo nimeona niwaulize kuhusu hili.
Nimeshuhudia baadhi ya wanyama kama Kuku ,mbwa nk, wakipigana na twasira yao wenyewe kwenye kioo.

Je, ni kwa sababu gani Hawajitambui au wana matatizo ya akili?
 
Habari zenu wana jamifourm!

Leo nimeona niwaulize kuhusu hili.
Nimeshuhudia baadhi ya wanyama kama Kuku ,mbwa nk, wakipigana na twasira yao wenyewe kwenye kioo.

Je ni kwa sababu gani? Hawajitambui au wana matatizo ya akili?
Wewe mwenyewe una matatizo ya akili hujitambui kama hao wanyama na ndege! 🤣🤣
 
Habari zenu wana jamifourm!

Leo nimeona niwaulize kuhusu hili.
Nimeshuhudia baadhi ya wanyama kama Kuku ,mbwa nk, wakipigana na twasira yao wenyewe kwenye kioo.

Je ni kwa sababu gani? Hawajitambui au wana matatizo ya akili?
Ni tabia tu kama za binadamu za kuzungumza wenyewe halafu kuna wale wa tiktok wanaojirikodi wakibinua mdomo. Wapo pia wanaojitazama kwenye kioo na kuanza kubishana na taswira zao kuhusu jambo fulani.
Mfano: Ukiweza Kuwarekodi watu kama 10 walikatoka kuachwa na wapenzi wao uone wanayofanya bafuni, wakijitazama kwenye kioo n.k hutashangaa wanyama.
 
1735377609802.png

On different note.., kioo kina faida gani kwa wanyama na hata wewe kama tangia ungekuwa umezaliwa haujauna kioo si ungedhani ni uchawi (au Imani za watu si pengine ni kama Kioo tu kwa mtizamo wa mtu mwingine ambaye huenda anajua ambacho sisi hatujui)?​
 
Habari zenu wana jamifourm!

Leo nimeona niwaulize kuhusu hili.
Nimeshuhudia baadhi ya wanyama kama Kuku ,mbwa nk, wakipigana na twasira yao wenyewe kwenye kioo.

Je, ni kwa sababu gani Hawajitambui au wana matatizo ya akili?
Mbona wapo hata watuwa hivyo humu?
 
Back
Top Bottom