Baadhi ya Wasanii waanza kueleza mambo kupitia Vipaji vyao

Serikali ikiwa kama kibaraka na muwakilishi wa kamati mwanachi mjitahidi kukwepa na kuiless mikono yake Kuja kwenye maisha yako.
 
Mukumbuke na haya
Si Waarabu tuu, Bali Wazungu waliwatia Utumwani ,tenea utumwa wa Kudumu.
Maana Hata Mifumo ya elimu ni ya kwao.
Waarabu ni wachovu kama Sisi Waafrika, isipokuwa wao kidogo akili zao zimefunguka , sisi bado Tumelala.
Wacha wabunye .
 
Mbarawa yuke mbele kabisa amembeba mwarabu🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…