Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Hivi ni mimi tu sipendi kuhudumiwa na wanawake ofisi za umma au na wenzangu mpo kama mimi?
Binafsi nikikutana na mwanamke ofisi ya umma au hata baadhi ya ofisi binafsi hasa wanaotoa customer service huwa huwa navunjika moyo sana.
Watoa huduma wengi hasa wakike Tanzania wana customer service mbovu kupitiliza, ni kama vile wanalazimishwa kuhudumia wateja mpaka unajiuliza huyu mtu ana hasira gani nami mteja? Unashindwa kuelewa!
Nikiingia ofisi ya umma kama nina shida isiyo ya haraka sana na siku hiyo watoa huduma wote nikakuta wanawake huwa nahairisha naondoka ni bora nihudumiwe na mwanaume mwenzangu sio mwanamke.
Wengi hawajui kabisa kuhudumia watu katika ofisi za umma kuanzia kuelekeza mpaka majibu yao, mara nyingi sana nimekorofishana nao
Ni vyema wakajirebisha.