Nawasalimu waungana wote
Kuna Jambo nilikuwa nataka tujadili kidogo, nimeshalishuhudia zaidi ya mara 5 katika maeneo na mikoa tofauti.
Unakuta Vijana mtaani wote wanajua kuwa demu Fulani na Fulani Wana HIV positive na ukiwauliza Wana kumbia taarifa zote tumezipata kwa dokta Fulani, yaani kila mwanamke anayepimwa na akagundulika na HIV basi taarifa lazima zifike mtaani. Kibaya zaidi dokta ndio anawaambia pale msisogee kaungua Yule .. So Sad
Sasa hapa ndipo madam yangu ilipo kwani kwa ninavyofahamu Daktari alikula kiapo cha kulinda taarifa na Siri za wagonjwa wake, ila hapohapo asipowaambia wale Vijana ukweli Vijana wapenda ngono tena zembe wataangania kwa ngwengwe. Sasa tujadili kitaalamu hapa lipi ni Jambo sahihi la kuisaidia jamii na taifa kwa ujumla natanguliza shukran
Wasalaaaam