Asenga wa Pakaya
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 260
- 60
KAMA BAADHI YA WATU WANGEULIWA NA TAIFA WAKATI WA UTOTO WAO INGEWEZEKANA TUSINGEKUWA NA WEZI NA MAFISADI NA WAARIBIFU WA NCHI SASA.unaweza kuzani ni upuuzi LAKINI MWANAFALSAFA ARISTOTLE ALIUTETEA MAHAKAMANI
HAKIMU ; ARISTOTLE simama uchukue kiapo
ARISTOTE ; [anachukua kiapo]
MWENDESHA MASHITAKA; jina lako?
ARISTOTLE; ni ambalo limetumiwa na hakimu
MWENDESHA MASHITAKA;wewe ni mtukutu?
ARISTOTLE; mimi na wewe.
HAKIMU ;mnafanya mchezo gani hapo?
MWENDESHA MASHITAKA;umri wako?
ARISTOTE; nitaishi kati ya 357 430 B.C nilizaliwa Stagira,Thrace.Nilianza masomo yangu na Plato nilipokuwa kijana mdogo.
HAKIMU;Maelezo yako yanajibu swali la umri?
ARISTOTLE;mim utoa baadhi ya majibu mapema nikijua maswali yake yatafatia,katika matukio mengi wanafalsafa wa kubwa kama sisi mara nyingi upata baadhi ya majibu kabla maswali hayajaulizwa
HAKIMU;jibu kabla ya swali? MWENDESHA MASHITAKA endelea kumuuliza maswali.
MWENDESHA MASHITAKA; nini mawazo yako juu ya elimu?
ARISTOTLE;Siamini kama mwalimu wangu PLATO alikosea aliposema elimu lazima isimamiwe na Taifa. Mimi nafikiri Taifa lina haki ya kuamua ni watoto gani waruhusiwe kuishi na gani wauliwe kwa sababu ya upunguu wao. Kama wataachwa waishi, watabadili mazuri ya Taifa lote kuwa mabaya [spoil].
MWENDESHA MASHITAKA;Uhalifu! Uhalifu
HAKIMU;Kuna mahakimu wangapi humu ndani? Mimi pekee ndie nnamamlaka ya kumkuta mshitakiwa na hatia au kumuachia huru.ARISTOTLE endelea na maelezo yako.
ARISTOTLE;Pia nafikiri huu utaratibu wa kuachia kila mwanaume kuoa mwanake wa chaguo lake ni hatari. Nashauri,kuwa,Taifa lazima liamue juu ya maswala ya ndoa,kama nani aolewe na nani.Kwa kufanya hivyo,watoto watakao zaliwa watakuwa ndio hitajio la Taifa.
HAKIMU;hivi ungependa wewe kuuliwa kama ungekuwa na upungufu/udhaifu?
ARISTOTLE;Nashauri Taifa kuwauwa watu zaifu wenye upungufu wakati wa utoto wao. Kwahiyo swali la kupenda au kutopenda lisingalikuwapo. Kama upungufu au udhaifu utatokea ukubwani nisingependa niuliwe kabla,ijapo Taifa litakosa kunufaika kutokana na pungufu wangu,kwahiyo maisha yangu yatakuwa ni sumu na mzigo kwa Taifa
MWENDESHA MASHITAKA;Njia gani zitumike kuwauwa watoto dhaifu?
ARISTOTLE;njia ya kutumika si jambo la kujadiliwa,la muhimu ni kupotezwa kwa maisha ya watu wote wenye upungufu na hasara kwa Taifa na Taifa lenyewe liamue. Kama nilivyosema mapema mwanzoni,mtu hawezi kukuwa kwa uwezo wake peke yake,na ndo maana kuna haja ya wengi kunufaika na maisha yake
HAKIMU;unamaswali ya ziada kwa ARISTOTLE?
MWENDESHA MASHITAKA;Hapana.
HAKIMU;Asante sana Aristotle,unaweza kukaa,.Machiaelli,simama uape kama nitakavyosema,,,,,,,,,,MWISHO.
KAMA MAWAZO YA ARISTOTLE YANGEZINGATIWA,MLIPUAJI BOMU LA ARUSHA ANGEKUWEPO?
[tafasiri ni ya asenga kutoka mafundisho ya mzee John Alfonso Nchimbi] najaribu kutoa mawazo ya wafikiriaji wa kubwa[THE GREAT THINKER] ktk matatizo mbali mbali yanayotukumba binadamu.Wasaa ukipatikana tena nitaandika juu Nyerere alipopanda kizimbani nae alijibuje maswali yake?
NASHUKURU KWA KUSOMA MPAKA MWISHO