Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Serikali itoe ufafanuzi kwanini baadhi ya watumishi wamekosa mshahara na wengine wamepata?
Je, Hazina imekauka?
Je, Hazina imekauka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza kujieleza chifu...tutafute hela kwa sanaMishahara imewafanya muwe watumwa kwelikweli. Mimi niliamua kujiajiri mkuu though chuo nilisepa na gpa ya 32
GPA ya 32 ndio ipoje hiyo.....Mishahara imewafanya muwe watumwa kwelikweli. Mimi niliamua kujiajiri mkuu though chuo nilisepa na gpa ya 32
PEPMIS ni kitu Cha hovyohovyo kabisa...hakuna uhalisia hata kidogo....Mambo ya pepmis hayo bila shaka.
Hiyo wanayopata viongozi wetu mkuuGPA ya 32 ndio ipoje hiyo.....
Gpa ya 32???Mishahara imewafanya muwe watumwa kwelikweli. Mimi niliamua kujiajiri mkuu though chuo nilisepa na gpa ya 32
Kuna shida gani hata kama ni yeye swala anatafuta majibu jaribuni kuheshimu mawazo na maoni ya watuMbona kama unajiongelea mkuu?🤣
Hatujakuuliza kenge weweMishahara imewafanya muwe watumwa kwelikweli. Mimi niliamua kujiajiri mkuu though chuo nilisepa na gpa ya 32
Pepmis unahisi inatuhusu wote? Wengine idara zetu hatujui kuhusu pepmisKwa nini haukujaza pepmis?
Mkuu twende pole pole kwanza , hebu tusaidie hiyo GPA ya 32 inatolewa chuo gani ndugu yangu?Mishahara imewafanya muwe watumwa kwelikweli. Mimi niliamua kujiajiri mkuu though chuo nilisepa na gpa ya 32
Pale Yudizimu mkuu.Mkuu twende pole pole kwanza , hebu tusaidie hiyo GPA ya 32 inatolewa chuo gani ndugu yangu?
Kenge Mama yako mkuuHatujakuuliza kenge wewe