Da,
mbona kazi sana kumpata right person kwa njia yako hii?
Unataka mchumbakwa sababu tu ana jinsia ya kike,
utapata wengi wa rika, rangi, dini na viwango tofauti vya elimu..
Je utawafanyia nini?
Tafadhali, naomba usiwakimbizie dada zetu kitandani kabla hujafunga ndoa