mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,931
Ndiyo maana nimesema kama alimterekeza ni sawa ila kama hakumterekeza si sawa.Maisha yao kwa ujumla hatuyajui, wala hatujui uyo Ommy kalelewaje
Ila kubali kataa Watanzania wengi kwenye kulea wazazi tunamjali sana mama, baba cyo kiivyo
Baba anaumia kuona mastaa Wengine wanawajali wazazi wao lkn mwanae hampigii hata cmuHao ndio wazazi wapuuzi tu, yeye mzazi ndio anatakiwa atafute mali kwa ajili ya kumuachia mwanae urithi, na sio Omary kumtunza huyo dingi.... Yeye miaka hiyo 64 alikuwa anafanya nini hadi leo ashindie mihogo, si alikuwa anakula bata na vimada? Aache upuuzi wake.
Wewe ndio unatakiwa umjengee mzazi au yeye ndo akujengee wewe!, nani anayetakiwa kumjengea mwenzie?Daah siyo poa kabisa. Watoto tuwakumbuke wazazi wetu bhana. Umeshindwa kumjengea basi hata miamala ya mara chache kwa wiki au kwa mwezi. Daah
Mimi ninatakiwa nimjengee yeye. Kama nitashindwa kujenga basi nimboreshee yeye.Wewe ndio unatakiwa umjengee mzazi au yeye ndo akujengee wewe!, nani anayetakiwa kumjengea mwenzie?
Hii ndo shida ya wazaz wengi (baba) wanatelekeza watoto wao wakisha fanikiwa waanza kelele, binafsi mm n mmoja wapo so naona wanachokifanya diamond na ommy ni sawa tu, nimepitia wakat mgumu sana nabado napambana sidhan kama ntakuja kumtazama mzee wangu vizurDuuh! Kama hamjali kweli sio sawa aisee.
Ila upande wa pili wa shilingi je katika makuzi ya huyo Ommy je Baba alishiriki mpaka kufika alikofika au ndio alihangaika na Mama pekee halafu yeye anakuja na malalamiko baada ya kuona amekuwa mtu mzima ikiwemo na umaarufu alionao.
Sasa huyu Omary mama'ake si alishakufaga kwann asihamishie hayo mpnz kwa baba'akeWatoto wa kiume wengi mapenzi yao kwa mama tu...
Hata cwez kumlaum Ommy kwa anachokifanya
Kwasababu watu wengi huamin baba anauwezo wa kujikim mahitaji yake mwenyewe bila kupatiwa Msaada
Itakuwa alimtelekeza kama babake mond alivyofanya. Mungu anamnyoosha kabla hajafaKama alimterekeza ni sawa lakini kama hakumterekeza haiwezekani ule bata halafu eti uje na utetezi wa kiboya kama huo eti watu wengi uamini baba anaweza kujikimu mahitaji yake mwenyewe.
Yani uwe na maisha mazuri mzazi wako ana miaka 64 anahangaika na bajaj useme anaweza kujitunza mwenyewe huo ni ujinga wa kiwango cha rami
Kwani na wewe umetelekeza watoto? Anza kuwakumbuka na uwapelekee matunzo yasikukute ya baba mond na baba dipozMzazi ni mzazi regardless alikutenda nini. Hata uwe na justification gani ....ukimtelekeza laana itakutafuna tu one day .... kama unabisha hewala lakini uliza waliokula chumvi kidogo wakupe shuhuda ....mzazi kushindwa kukuachia urithi wowote hiyo itabakia adhabu kwake na pengine ndio anapitia adhabu yenyewe kwa namna nyingine lakini wewe hupaswi kumtelekeza kwa makusudi.
Saa nyingine huwa hakuna jinsi sababu ukiangalia mtu amepigika enzi hata kutoa support ilikuwa hamna eti leo amesimama ndio anakuja. Hapo kumsaidia lazima kujifikiria mara mbili aiseee.Hii ndo shida ya wazaz wengi (baba) wanatelekeza watoto wao wakisha fanikiwa waanza kelele, binafsi mm n mmoja wapo so naona wanachokifanya diamond na ommy ni sawa tu, nimepitia wakat mgumu sana nabado napambana sidhan kama ntakuja kumtazama mzee wangu vizur
HahahaaaHuyo dingi nae vipi ana bajaj alafu anashindia mihogo, hela anapelekaga wapi?
Mbona anatudhalilisha wala mihogo wengine? Kwanza sio kushindia mihogo, ni kula mihogo, kama una matatizo na mwanao deal nayo mwenyewe achana na mihogo yetu. We mzee vipi?
Dah Hii kali! Yaani nitafute mali kwa ajili ya kumuachia mtoto urithi. Minajua mzazi wajibu wake ni kumsomeaha mtoto tu, mali zangu ni kwa maiaha yangu,huyo mtoto atatafuta za kwake.Hao ndio wazazi wapuuzi tu, yeye mzazi ndio anatakiwa atafute mali kwa ajili ya kumuachia mwanae urithi, na sio Omary kumtunza huyo dingi.... Yeye miaka hiyo 64 alikuwa anafanya nini hadi leo ashindie mihogo, si alikuwa anakula bata na vimada? Aache upuuzi wake.
Alikuwa anahangaika kumlea huyo Ommy.Hao ndio wazazi wapuuzi tu, yeye mzazi ndio anatakiwa atafute mali kwa ajili ya kumuachia mwanae urithi, na sio Omary kumtunza huyo dingi.... Yeye miaka hiyo 64 alikuwa anafanya nini hadi leo ashindie mihogo, si alikuwa anakula bata na vimada? Aache upuuzi wake.