Dah inasikitisha sansWatoto wa kiume wengi mapenzi yao kwa mama tu...
Hata cwez kumlaum Ommy kwa anachokifanya
Kwasababu watu wengi huamin baba anauwezo wa kujikim mahitaji yake mwenyewe bila kupatiwa Msaada
Kumbuka baba yako alikuzaa akiwa fukara kauza mashamba Ili usome ,kajenga nyumba kishida shida watoto wake wastirike kweli Dunia imevaa kimini leo unamuona baba yako hana thamani tena Eti Apambane na hali yake ?Hii ni shida sasa, kumbuka amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu. Usitegemee mwanao atakuja kukutanza na kukujali hapo uzeeni. Wazee waliojiandaa na maisha ya uzeeni wala hawana shida... wanatunzwa na kulelewa maana walijipanga. We kula ujana wako usijiwekee akiba utegemee utalishwa na wanao! Mzee mwenye pesa zake nyumba yake itajaa watu na atakufa mikononi mwa watu. Jipangeniiiiiii
Naskia baba yake na ommy alikuwa ni dereva wa malori makubwa na ommy alipatikana kwenye mishe mishe za madereva..Kama alimterekeza ni sawa lakini kama hakumterekeza haiwezekani ule bata halafu eti uje na utetezi wa kiboya kama huo eti watu wengi uamini baba anaweza kujikimu mahitaji yake mwenyewe.
Yani uwe na maisha mazuri mzazi wako ana miaka 64 anahangaika na bajaj useme anaweza kujitunza mwenyewe huo ni ujinga wa kiwango cha rami
Point aiseeWatoto wa kiume wengi mapenzi yao kwa mama tu...
Hata cwez kumlaum Ommy kwa anachokifanya
Kwasababu watu wengi huamin baba anauwezo wa kujikim mahitaji yake mwenyewe bila kupatiwa Msaada
Kama ni hivyo apige kimya sio baba yeye ni sperm donorNaskia baba yake na ommy alikuwa ni dereva wa malori makubwa na ommy alipatikana kwenye mishe mishe za madereva..
Kama tunavyojua madereva wa maroli wanavyoacha familia kila mkoa wanaopita sidhani kama huyu mzee kashiriki kwenye malezi ya ommy..
Ommy hawezi kuwa mpuuzi kiasi hicho kwamba baba yake aliyemlea awe hana namba yake..hata ukiangalia mahojiano hapo inaonekana mzee anamtaka ommy kimaslahi tu na sio kwa ajili ya relation ya baba na mwana
Una mtoto kweli wwHao ndio wazazi wapuuzi tu, yeye mzazi ndio anatakiwa atafute mali kwa ajili ya kumuachia mwanae urithi, na sio Omary kumtunza huyo dingi.... Yeye miaka hiyo 64 alikuwa anafanya nini hadi leo ashindie mihogo, si alikuwa anakula bata na vimada? Aache upuuzi wake.
Una uhakika gani kama alimuhudumia mwanawe ( dimpoz) , mababa wengi utelekeza watotoKumbuka baba yako alikuzaa akiwa fukara kauza mashamba Ili usome ,kajenga nyumba kishida shida watoto wake wastirike kweli Dunia imevaa kimini leo unamuona baba yako hana thamani tena Eti Apambane na hali yake ?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] dingi muongo huyoHuyo dingi nae vipi ana bajaj alafu anashindia mihogo, hela anapelekaga wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona anatudhalilisha wala mihogo wengine? Kwanza sio kushindia mihogo, ni kula mihogo, kama una matatizo na mwanao deal nayo mwenyewe achana na mihogo yetu. We mzee vipi?
Kwann ?Mimi ninatakiwa nimjengee yeye. Kama nitashindwa kujenga basi nimboreshee yeye.
Kumbuka baba yako alikuzaa akiwa fukara kauza mashamba Ili usome ,kajenga nyumba kishida shida watoto wake wastirike kweli Dunia imevaa kimini leo unamuona baba yako hana thamani tena Eti Apambane na hali yake ?