Baba aliuza shamba miaka 10 iliyopita akalipwa pesa nusu. Je, tunaweza kulirejesha?

kisaka core

New Member
Joined
Oct 19, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Baba aliuza shamba miaka kumi iliyopita akapewa pesa nusu, mnunuaji hakupewa maandishi yoyote na yeye hajamalizia pesa mpaka leo na amejenga nyumba pamoja na kupanda minazi je tunaweza kulirejesha?
 
Ilo Shamba lina hati ? Na kama linayo ipo kwa jina la nani ?
 
Baba aliuza shamba miaka kumi iliyopita akapewa pesa nusu, mnunuaji hakupewa maandishi yoyote na yeye hajamalizia pesa mpaka leo na amejenga nyumba pamoja na kupanda minazi je tunaweza kulirejesha?
Mnaweza endapo hatapata hati kutoka wizarani
 
Baba aliuza shamba miaka kumi iliyopita akapewa pesa nusu, mnunuaji hakupewa maandishi yoyote na yeye hajamalizia pesa mpaka leo na amejenga nyumba pamoja na kupanda minazi je tunaweza kulirejesha?

Kabisa, nyie mna vielelezo? Sio kwa dhuluma lakini, mnamwambia amalizie au mrejeshe equivalent, ila mkitaka kukomaa hata bila kumpa kitu inawezekana
 
Mtafute na mganga mapema kaka hayo mambo ya ardhi si ya kawaida mnaweza kupukutika wote kiutani tu

Mwambieni awamalizie hela akileta kiswahili achaneni nae vinginevyo na nyinyi muwe na roho ngumu
 
Vita vya ALIZI ni ya 3 baada ya mapenzi na pesa so kua makini mno
 
Vita yaa ardhi n ya hatar sanaa tena unakuta aliuza bei cheeeee...majadiriano n bora zaid kuliko kutumia sheria..
 
Hapana sheria ni bora zaidi kuliko majadiliano linapokuja swala la Aridhi, na ndiyo maana kuna sheria za Aridhi, ukiwa na hati miliki wwe kwenye mgogoro simama na sheria za Aridhi, na hazina kona kona zimenyooka!!
 
Back
Top Bottom