kisaka core
New Member
- Oct 19, 2024
- 1
- 0
Mnaweza endapo hatapata hati kutoka wizaraniBaba aliuza shamba miaka kumi iliyopita akapewa pesa nusu, mnunuaji hakupewa maandishi yoyote na yeye hajamalizia pesa mpaka leo na amejenga nyumba pamoja na kupanda minazi je tunaweza kulirejesha?
Baba aliuza shamba miaka kumi iliyopita akapewa pesa nusu, mnunuaji hakupewa maandishi yoyote na yeye hajamalizia pesa mpaka leo na amejenga nyumba pamoja na kupanda minazi je tunaweza kulirejesha?
Hapana sheria ni bora zaidi kuliko majadiliano linapokuja swala la Aridhi, na ndiyo maana kuna sheria za Aridhi, ukiwa na hati miliki wwe kwenye mgogoro simama na sheria za Aridhi, na hazina kona kona zimenyooka!!Vita yaa ardhi n ya hatar sanaa tena unakuta aliuza bei cheeeee...majadiriano n bora zaid kuliko kutumia sheria..