Lekanjobe Kubinika
JF-Expert Member
- Dec 6, 2006
- 3,019
- 579
Source: Radio One Taarifa ya Habari ya Saa1 Asubuhi leo.
Polisi Mjini Moshi wanamshikilia baba mmoja aitwaye Idd Hashim kwa kumnajisi mtoto wake wa kufikia mwenye miaka 6 anayesoma katika shule ya Msingi ya Kahe darasa la Pili. Ilidaiwa na mwendesha mashitaka kwama baba huyu alitenda tendo hilo wakati mama ya mtoto akiwa kaenda shambani mchana wa saa sita nyumbani kwake Madukani, alimwita mtoto huyo chumbani, akamziba mdomo na kisha kutimiza kulitumikia pepo lake la ngono mchana kweupe huku mtoto akishindwa kujitetea. Baba huyo akiwa tayari kawa mwepesiiiiii, anahifadhiwa kwenye kituo cha polisi wakati uchunguzi wa kipolisi ukiwa unaendelea.
huyu ni kifungo cha maisha ndio chakeMtu kama huyo miaka 37 ni kidogo, auwawe tu.
Source: Radio One Taarifa ya Habari ya Saa1 Asubuhi leo.
Polisi Mjini Moshi wanamshikilia baba mmoja aitwaye Idd Hashim kwa kumnajisi mtoto wake wa kufikia mwenye miaka 6 anayesoma katika shule ya Msingi ya Kahe darasa la Pili. Ilidaiwa na mwendesha mashitaka kwama baba huyu alitenda tendo hilo wakati mama ya mtoto akiwa kaenda shambani mchana wa saa sita nyumbani kwake Madukani, alimwita mtoto huyo chumbani, akamziba mdomo na kisha kutimiza kulitumikia pepo lake la ngono mchana kweupe huku mtoto akishindwa kujitetea. Baba huyo akiwa tayari kawa mwepesiiiiii, anahifadhiwa kwenye kituo cha polisi wakati uchunguzi wa kipolisi ukiwa unaendelea.
Mtu kama huyo miaka 37 ni kidogo, auwawe tu.