Baba anamsodoma mwanae msaada jamani

Rahabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
5,526
Reaction score
3,341
.jamani wama MMU cjui mtanisaidiaje katika hli
Nina jirani yangu dada2 ana mume na watoto5 wanne wakike mmoja kidume. Ni mtu wa kigoma MUME wake anatabia ya kufanya mapenzi watoto wake hasa huyu mkubwa anamiaka13 yuko lasaba. Mama ake akisafiri mtoto anakua mke ni tabia ambayo endelevu.
Pia huyubaba anatabia ya kuwaonesha watoto wake picha za EX mara anawaonesha dudu lake watoto ni wadogo
Mama mtu anajua ila alitishiwa na mumewe akisubutu kusema au kumshtaki atamrudisg.a kijijini.na
Huyo baba amesha kalisg.wa kikao zaid ya mara3 na ndugu zake ila bado anaendelea.

Na tabia hio sio kwa wanae2 had watoto wawili wa dada ake mashemeji zake kuna mmnja alimpa mimba.ameshatembea na watoto wa nduguzake kama 6pamoja na wanae
Watoto wanahadithia kila kitu wadi anavyo waonesha dudu mana mkubwa ana13 anaefatia11 wanaofatia mapacha8 wanajua kila ki2.hako kabinti kakubwa had ameharibika kutembea sababu ya shuhuri ya usiku.

Mtaa mzima hata watoto wadogo wanajua tabia ya huyo baba ila mama m2 muoga kurudishwa kijijini. tulijaribu kupiga cm kwanye vyombo vya habari had leo ni mwaka hawajaja kufatili.
Kila kukicha anafanya mambo hayo bila aibu hata mchana kweupe akibaki na mwanae tu ndo anamaliza mchezo.
anae weza kutoa msaada hata kwa ushauri mana tumemchoka huyu baba.nakaa tabata msaada jamana
 


Kwa nini usireport Polisi Dawati la watoto uwape details za wapi alipona watoto wako wapi? Au la nenda Kituo cha sheria na Haki za Binadamu au unasemaje Kamanda?
 
Aiseee nyoka anakula mayai yake!!
Watafute wa magazeti ya udaku hao wanafaa kurekebisha tabia.
 
Heeee huyu baba afunguliwe kesi ya ubakaji na unyanyasaji wa watoto!
Si mzima huyu kiumbe akachekiwe akili yake!jamani kweli mwanao mwenyewe?
 
Huyo baba atakuwa Ana pepo. Sio bure . Mpelekeni kwa Mzee wa upako
 
Naamini kupitia jukwaa hili walengwa wataona na kutoa msaada . Huyo baba si mzima upstairs haiwezekani mtu mzima kufanya mambo ya namna hii mmmmmh. Tunaomba wajuzi wa mambo wasaidie pindi waonapo hiyo post.
 
Majirani mngeripoti polisi

Ila hao ndugu wanaoharibiwa watoto nao wanamuangalia tu?

Na mkewe akapimwe akili
 
Tuamini vipi haya unayoandika?
 
Mkuu naomba ni pm nikwambie kitu juu ya huyu mpuuzi anayeharibu watoto.
 

nenda polisi,dawati la jinsia haraka iwezekanavyo,yaani usomapo ujumbe huu uwe njiani tayari kwenda kutoa taarifa
 
Ukija mtaan kwe2 hata watoto wadogo wanakuhadithia na wanakuonesha kama unataka imfo ntafute kwa email ntakuelekeza had hom uje
a.rahabu@gmail.com
 
Tatizo mama hataki kabisa mambo haya yawekwe anahofu ya kuachika na kurud bush
 

Nenda Polisi kaeleze hiyo issue wataifanyia kazi.
 
Tuamini vipi haya unayoandika?

Si ndio ufike huko tabata?!!..unataka ushuhuda hapo ulipo? Wacha uvivu kanyake daladala uelekee kwenye tukio...usikute umpate redhanded mjamaa.. na nyinyi majiran hamuna watoto? mbona mumemuacha jamaa mda wote huo
 
Weka jina mtuhumiwa mkoa unaoishi,wilaya,kata mtaa. Hapo itakuwa umetupa pakuanzia.
 

Tunashukuru kwa taarifa hiyo. Ni taarifa ya kusikitisha sana na kuonesha uyama wake. Mlijaribu kumchunguza kama hana matatizo ya kiakiri? Pia je si mshirikina?
Nyie kama jamii inayomfaham na inayoyashuhudia hayo kwanini nyie mmeishia kuwapigia simu waandishi?!! Pale tabata shule mbona kituo cha polisi kipo? Kama mpo segerea kituo cha sitakishari kipo, pale kuna dawqti la jinsia ushenzi kama huo wanaushughulikia. Msimlee huyo afanyiwe mtego anaswe akakutane na mafirauni wenzake gerezani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…