Marie Antoinette JF-Expert Member Joined Jan 28, 2019 Posts 426 Reaction score 412 Jul 9, 2024 #41 Kama umbea,huu ulifungua mwaka. Yaani,kila kitu mletamada anajua,utadhani mhusika. Haya,jf iekusaidia nini? Kama ulikuwa na akili,uliwasaidia nini watoto hao? Haua,jukwaa bado linachangamka.
Kama umbea,huu ulifungua mwaka. Yaani,kila kitu mletamada anajua,utadhani mhusika. Haya,jf iekusaidia nini? Kama ulikuwa na akili,uliwasaidia nini watoto hao? Haua,jukwaa bado linachangamka.
Marie Antoinette JF-Expert Member Joined Jan 28, 2019 Posts 426 Reaction score 412 Jul 9, 2024 #42 Rahabu said: Tatizo mama hataki kabisa mambo haya yawekwe anahofu ya kuachika na kurud bush Click to expand... Basi nae mama jina tu. Japo kama akili ndo hizi? Poleni.
Rahabu said: Tatizo mama hataki kabisa mambo haya yawekwe anahofu ya kuachika na kurud bush Click to expand... Basi nae mama jina tu. Japo kama akili ndo hizi? Poleni.