Mchanga unafukuliwa tartiiiiiibu kuelekea kijiti kilipo, mchanga unafukuliwa upande wa jk na BWMMkuu mimi sijaelewa naomba ufafanuzi kama hutojali..
Huko ndiyo kabisaaa, anatundika nguo hewani mpaka utakubali Mlingotini iko Bwagamoyo.Kweli haguswi uwanjani lakini kwenye vyumba vya kubadishia nguo mbona ni poa tu!!!!
poa mkuu nimekuelewaMchanga unafukuliwa tartiiiiiibu kuelekea kijiti kilipo, mchanga unafukuliwa upande wa jk na BWM
Tumeambiwa wasiguswe wala kutajwa!!
Mchanga unaisha (habinda seth, Rugemalila.....) kijiti lazima kinaanguka soon na kwa uhakika kinaangukia upande wa jk!!!
Atapopolewaje?
Ahahaahahahahahahahahahahahahah mkuu umenichekesha sana, na kunikumbusha mbali sana.Watoto Wanacheza mchezo unahusisha kijiti wamekichimbia kwenye mchanga kimesimama wima!!
Kila mshiriki anatakiwa kufukua mchanga kidogo kidogo kuelekea kilipo kijiti.
Mwisho wa mchezo ni pale kijiti kitakapokosa egemeo na kuangukia upande uliofukuliwa mchanga na kubaki shimo.
Kitakayemwangukia anapaswa kukimbia kuwahi kugusa mti ambao huokoa mwili wake usidundwe mangumi.
Wakati mchezo unaendelea kuna mtoto yuko nje ya mchezo nasikia anagutia baba angalia kisiangukie kwako!!!!
Wakati wakiendelea kuufukua mchanga wanaimba "Tule wali tumbakishie baba x2 x2 x2"
Nani kaielewa hadithi hii.
Wacha weeeee......[emoji23] [emoji23] [emoji23]Refarii kashasema baba haguswi. Hata akijamba atasingiziwa hausigeli tu.
...Na paja la Kuku mpelekee Mama..."Kula wali tumbakishie baba"