MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 32,408 Reaction score 50,809 Jul 26, 2016 #1 Mvulana: Hivi Mama nikifikia umri gani ndio nitaanza kuwa huru, naenda ninapotaka na kufanya ninachotaka na ninarudi muda ninaotaka na wewe mama huniulizi kitu? Mama: Babaako mwenyewe hajafikia umri huo...
Mvulana: Hivi Mama nikifikia umri gani ndio nitaanza kuwa huru, naenda ninapotaka na kufanya ninachotaka na ninarudi muda ninaotaka na wewe mama huniulizi kitu? Mama: Babaako mwenyewe hajafikia umri huo...
Nchi Kavu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 4,290 Reaction score 2,468 Jul 26, 2016 #2 Hatari