Baba Diamond ampa somo Zari the boss! Diamond hajaoa atulize mshono

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Baba mzazi wa msanii Diamond Platinumz, Mzee Abdul ameibuka na kuingilia kati malumbano kati ya wanawake wawili Zarinah Hassan na mwanamitindo Hamissa Mobeto waliozaa na mwanae Diamond Platinumz, akiwasihi waaache kurushiana vijembe mtandaoni kwani hakuna mke halali wa kijana wake. Hivi karibuni kumetokea gumzo mtandaoni kati ya Zarinah na Hamissa Mobeto wakirushiana maneno ya kejeli na dharau ambayo kwa namna moja au nyingine ni maneno ya kubomoa.

“Maneno wanayotoleana mitandaoni ni mabaya na yananichukiza mno’’ amesema Mzee Abdul.

‘’Ninawasihi hawa wanawake waache malumbano katika mitandao ya kijamii, kwa sababu kila mmoja amezaa hivyo wote wana nafasi na haki sawa kwa vile hakuna aliyeolewa hadi sasa’’ ameeleza bab Diamond.

Aidha amesema kuwa mwanaye bado hajaoa na huenda mmoja wao akaolewa lakini mwingine akapewa heshima yake kama mzazi,

Amesisitiza kuwa kua uwezekano mkubwa kwa wote wawili kuolewa kwani dini ya mwanae inamruhusu.

Mzee Abdul amemalizakwa kusema kuwa ana uhakika kuwa kila mmoja Kitu mmoja kwa kitendo cha kuzaa na mwanaye, ataambulia chochote kitu kwani wana haki.
 
Mzee anazekee vibaya.huyuuu
 
Kumbe hakualikwa walipobarikiwa kindoa mjini Dar.. duh!!! Na picha ya gauni jekundu alivaa Zari na party usiku huo tuliziona jamani. Kweli WCB wamekuwa wasiri sana siku hizi.. safi sana.

Angenyamaza kimya kwa historia yake ilivyo na mwanawe.. ameonyesha kuvalishwa zile nguo ndio anadakia dakia eeeeeh.. atulie kimya yeye hahusishwi na ya kindani ya familia hiyo.
 
Tupe habari wewe uliyealikwa maana wengi hiyo ndoa hatuijui kweli
 
Hii familia inapenda sana UZINZI, USWAHILI na DRAMA.

- Dunia ni katili sana huyo mwanae asijione ni SHUJAA sana wa MAISHA. Kuna FAMILIA huwa zinapukutika kama UYOGA, watu wanazika na kusahau- inabaki STORI
 
Tupe habari wewe uliyealikwa maana wengi hiyo ndoa hatuijui kweli

Ungefatilia matukio ya hizo siku ndani ya masaa 24 tu hadi Zari alichopost wakati anaondoka kurudi SA ungeelewa. Babu Tale nae pia snapchat maneno yake kwa Zari aliyoyatamka..

Ile haikutaka macho ilitaka mtu uwe vizuri juu kuunga dots na hadi leo nasimamia nilichokiona na kujua.
 
Teh teh teh! Kweli we bwege! Unafikiri mpaka inapofika ndoa kuitwa halali n kujifungia na demu ndani au kula denda hadharani basi imeshakuwa halali! Kwa taarifa yako Huyo Dojo hajaoa so wewe endelea kupumbazika na ndoa za instagram
 
habari za wasanii chipukizi zinakera sana ...

Muwe mnaleta uzi unawowausu wasanii wakubwa kwasababu sisi uku kwetu Mikochen atuwafahamu awo zario Mara mobeta Mara mzee Abdul..
 
Acha wizi. Weka chanzo cha habari
 
Teh teh teh! Kweli we bwege! Unafikiri mpaka inapofika ndoa kuitwa halali n kujifungia na demu ndani au kula denda hadharani basi imeshakuwa halali! Kwa taarifa yako Huyo Dojo hajaoa so wewe endelea kupumbazika na ndoa za instagram

Eeeeeeeeeh
Lia lia liaaaaaaaaa

Udaku wa mtandaoni eti unaniita hivyo eeeeeeeh

Ona unaandika maneno ambayo sijayaamdika.. kilazwa haswaaaa wewe duh

Milembe kunakuhiusu.. utafikiri kuandika humu haya ya wasanii tunagombania kombe ni kuburudika jua hivyo. wewe mdaku bebi hujui kuongelea ya celebs.. unaumiaaaaa hapo juu ya maisha yao na kunitukana.. aiseeeeee

Jipige vibao vya usoni ulie kabisa
Umejaa wivu na bado unaakili za kibebi hijui kitu na hujui kufikiri nje ya boksi..
 
Dah ila Mond angemnunulia mshua wake hata ki furn cargo maana mzee anataabika sana.
 
Sperm donor bana akitulize huko. Baba dai yupo zake sauzi anakula honeymoon na bi sandra
 
Vipi huyu mzee, ashalipiwa matibabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…