Baba dully sykes mzee sykes anatia aibu

Baba dully sykes mzee sykes anatia aibu

Hashm

Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
47
Reaction score
15
Yaan niko naye hapa bar flan tbt chama...yaaam mm na vijana wenzangu jinsi alivyovaa na alivyo mpaka anatia aibu.dully hisika kwa hili
 
Kila mtu na maisha yake ana serikali ya kichwa chake, sasa unataka Dully afanye nini? Ww km baba yako yuko poa mshukuru Mungu, ila usidhani ni kwa ujanja wako
 
Kila mtu na maisha yake ana serikali ya kichwa chake, sasa unataka Dully afanye nini? Ww km baba yako yuko poa mshukuru Mungu, ila usidhani ni kwa ujanja wako


[h=3]BABA YAKE DULLY SYKES ANASWA AKIVUTA BANGI....!![/h]

[h=2]Tuesday, May 21, 2013 | 7:06 PM[/h]


BABA+DULLY+SYKES.jpg
[h=4] Baba mzazi wa mwanamuziki wa bongo flava nchini Dully Sykes, Mzee Sykes pichani kama inavyoonekana akiwa na madawa haram ya kulevya aina ya bangi mkononi huku mbegu mbegu zikiwa zimedondoka chini.----- [/h][h=4]Baba mzazi wa mwanamuziki nyota wa bongo flava nchini Dully Sykes , Mzee Sykes hivi karibuni alinaswa akichambua bangi mikononi mwake kwa ajili ya kuivuta.[/h][h=4]Tukio hilo la aina yake lilitokea nyumbani kwa msanii aliyefahamika kwa jina laShebo, na kushuhudiwa na mwandishii wetu ambae alifanikiwa kumpiga picha mzee huyo akiwa na bangi mkononi mwake.[/h]
DULLY.jpg
[h=4]Mzee huyo akiwa hana shaka yoyote alionekana akichambua bangi hiyo huku mbegu zake zikidondoka chini kama mchele ( picha ya juu)[/h][h=4]Hata hivyo mzee huyo alishindwa kuendelea na zoezi la kuitayarisha bangi hiyo kutokana na kumtilia wasi wasi mwandishi wetu akidhani ni afande[/h]
 
When you smoke herb,it reveals you to yourself. Weed is good for calmness.
 
Ni wazi sasa pasi na shaka yoyote JF watu wenye hulka za kishoga wamejaza tele humu, angalia hata thread zao.

[h=5]FACT: The word 'swag' was invented in the 1960's by a group of gay men in Hollywood which means 'Secretly, we are gay'.[/h]
 
Back
Top Bottom