Baba hataki ni beti

BAVARIAN

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2017
Posts
222
Reaction score
168
Tumegombana sana na mzee kuhusu ishu ya kubeti infact hataki kusikia wala nicheze hii kitu,,mm kama mm nachukulia ni mchezo tu ila kwake ipo tofauti ,,changia kipi sahihi anachosema dingi au ninachosema mm,,,
 
Vipi unasoma?
 
Mwanafunzi elewa kuwa kubet ni kamari, na kamari unaingiza pesa. Pesa unayoingiza 95% inachotwa wachezaji mnagombea 5% iliyobaki. Kwakuwa bado mdogo, tena mwanafunzi nakushauri jitahidi kupiga kitabu utajikomboa na pia utawakomboa wazazi wako. Kamari haiwezi kukukomboa kimaisha
 
Nipo nafanya kaz katika institute flan hv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…