Baba kanumba ajibu mapigo

hatuna uwezo wa kuwahukum wazazi, yaani mtu anatupiana maneno ya kejeli na mzazi wake hadharani. Kanumba ni mwendawazimu, hana hekma. Na akifanya masikhara amani ya maisha itakosekana hata kama pesa ipo. Mshamba mkubwa!
 
Upo sahihi kwa maisha ya kijijini lakini inapendeza inapokuwa watoto wote mnafanya hizo kazi kwa pmj na mnapokuwa watoto wengi na kazi hizo ukafanya ww pekee yako huu ni unyanyasaji ndivyo tunaoulaani
 
kwetu sisi mdogo ndie anaechunga ng'ombe, mbuzi! mkubwa hawezi kwenda kuchunga wakati dogo yupo!!!
 
Baba na mtoto wote akili matope matupu
 
Baba Kanumba yupo mapenzini na mke mdogo. ndiyo sababu anamtetea na kumponda Mama Yake Kanumba. Siyo wewe tu Kanumba wazazi wengi wakishatelekeza familia za mwanzo hupenda sana kuitwisha lawama familia ya mwanzo. hasa kina mama. mtoto akikosea oh mama yake hamlei vizuri na kadhalika. Ila nakushauri Kanumba achana na maisha yako ya Zamani huko kwa Baba yako. Songa mbele jitahidi kuiboresha hadhi yako na zidi kumpenda na kumsaidia huyu Baba.
 
Kanumba hana nidhamu hata kidogo. Na hafai. Hawezi kumdhalilisha mzazi wake hata kama ingekuwa kweli aliteswa. Kuosha vyombo na kuchunga mbuzi alitaka afanyie nani?
 
kweli kanumba unafana na jina lako na utakuwa **** namba moja kwa ***** uloaznisha au kwakuwa hukwenda shule, nani asiyekujua jinsi ulivyotapeli leo unajifanya 'mimi sikuozoea kusema uongo'omba msamaha kwa baba yako
 

ushauri mzuri sana
 
l

hakika mkuu umenena maneno mazito kila mtu ana matatizo yake kwan umwage yako ya ndani kisa uliosha vyombo?uhisi kuwa alikupatia skills za kuweza jitegemeza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…