Baba kasema leo saa7 mchana Clouds TV/FM.

'TIGO FIESTAA 2019 SAIZI YAKO,LEVELS BABY'...Mikoa/Miji ni 7 tu sababu imeingiliana na Shamlashamla za Clouds20,mikoa/Miji ni,Mwanza,Muleba,Sumbawanga,Tanga,Dodoma,Arusha na Dar Es Salaam.
Hapa kuna walakin. Hawawez kua serious mikoa n ming wao. Wafanue Saba tu??
 
Wametumia good strategy kuipromote hiyo festival yao.
 
Fiesta sishangai, ila studio mpya ndio naona jipya
 
Onair Studio Kama ya wasafi fm vile,but bado hawajaweza kuifikia ile ya wasafi.
 
Leo ndo wamebadilisha studio? Hongera kwa kuchukua hatua mawingu [emoji2]
 
Leo ndo wamebadilisha studio? Hongera kwa kuchukua hatua mawingu [emoji2]
Hiyo studio ni multipurpose..sio ya vipindi vyote vya redio..itakuwa inatumika pia na CloudsTv
 
'TIGO FIESTAA 2019 SAIZI YAKO,LEVELS BABY'...Mikoa/Miji ni 7 tu sababu imeingiliana na Shamlashamla za Clouds20,mikoa/Miji ni,Mwanza,Muleba,Sumbawanga,Tanga,Dodoma,Arusha na Dar Es Salaam.
Ndio wamewagandisha mabaharia kwenye jua kali kisa tigofiesta????
 
Hiyo studio ni multipurpose..sio ya vipindi vyote vya redio..itakuwa inatumika pia na CloudsTv
Iyo si On Air ya Radio chaliangu!Clouds TV kivipi au production ya Vipindi vya Clouds Tv itafanyikia humo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…