Baba kaweka status 'kuzaa sio kupata'

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Wadau naomba ushauri leo nimeamka asubuhi nimepitia status za mzee baba nimekuta hii kuzaa si kupata imenichanganya. Sikumbuki kama wiki hii kuna jambo nimemkwaza, hapa natamani kumpigia simu kumuuliza.

Naomba ushauri
 
Kwani Status anakuandikia usome wewe au watoto wake pasipo wengine kusoma?
 
Mpigie Simu ,kuna kitu hakipo sawa.


Unajua kibongobongo wazazi wanazaa kwa faida ya baadae nahili litabakia kua ivo nahalipaswi kubadilika .


Mpigie simu Mkuu, Usiache kutokujia neno la Moyoni la mzazi.
Na kupitia hilo, ataendelea kugundua jambo kubwa sana kutoka kwenu watoto.
 
Mengine msiyachukulie sirias

Huenda yeye anadhana ile ya kuwa kuwa na mtoto sio kwamba ndio akulee.

Au huwa anawasumbua kumpa mahitaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…