Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mkuu 99% za status zinakuwa na hisia za kweli..fuatiliaKwani Status anakuandikia usome wewe au watoto wake pasipo wengine kusoma?
Wadau naomba ushauri leo nimeamka asubuhi nimepitia status za mzee baba nimekuta hii kuzaa si kupata imenichanganya. Sikumbuki kama wiki hii kuna jambo nimemkwaza, hapa natamani kumpigia simu kumuuliza.
Naomba ushauri