Baba kuingiza wanawake ndani kipindi mama amesafiri

Siku vizia hao wanaoletwa wakienda toilet na wewe muombe umuinamishe huko huko share nae tu mzee hao ni malaya tu. Hataleta tena akija kujua.
Angalizo
Fanya haya kama umejipanga kutoka home ukajitegemee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2302][emoji2302][emoji2302][emoji2302] kha wewe hebu acha uchochezi
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23] ulivyo dhaifu hivo na kulalamika kama mtoto wa kike huwez mkuu huna ubavu huo ungekuwa sio dhaifu na kutonyamazia huo ujinga wake mzee angekuheshimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unacho cha kupoteza ndo maana mpaka sahivi haujampiga [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Dooh badala ya kupambana eti unalia mkuu hizi dharau mpaka lini lazima wakuheshimu [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo uoga mtukane akuskie [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Usikubali mkuu utadharaulika mpaka lini kukaa kimya bila kufanya action ni sawa na kubadilisha jinsia [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mbona watu mna tabia mbaya hivi?? Unathubutu kumtuma mwenzio kwenda kujiokotea laana hivi hivi?? Ndg Kama una akili kidogo tu. Usithubutu hata kukaa sebuleni baba akiwa anapitisha mzoga wake huo.
Fumba macho kabisa ujifanye huoni lolote. Ukiona haya yakitendeka wakati mamako kasafiri huenda kuna mambo yamempata mamako na upendo wake kwa babako akaona asijepatwa tezi dume kwa mbegu kumzidi kiunoni. Huenda mamako kaugua gonjwa asiloweza kukueleza ila babako analijua.
Kumsaidia baba na mama asizuie, mama aka feki safari hiyo ya kwenda Dar, Upooo?? Kweli vijana mnakosa adabu sana. Ati wanakushauri uende kuwaeleza wengine huko barabarani. Huyo ndugu wa babako wa kwanza utakaye mueleza, akiwa na mapenzi mema nadhani atakutwanga makofi na kukukanya usirudie kumzuia babako.
Hata kama ni kumdharau mamako, babako hawezi kuleta mzigo ndani tena chumbani kwa mamako bila idhini ya mamako. Haiwezekani
 
...Ww mtoto acha ujinga......humu Kuna wapumbavu wengi.....nenda kawaambie wazee wako wengine.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…