Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hawa ndio eti viongozi wa wananchiMbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus Chipando, maarufu Baba Levo aagiza Halmashauri kuacha kuanzisha kodi mpya kwani “Zinawaumiza Wananchi” bali watengeneze vyanzo vipya vya mapato ambapo amesema yeye pamoja na madiwani washirikiane kupunguza baadhi ya tozo zilizopo kwa Wananchi na siyo kuongeza.
Nadhani hakupewa na ndio maana anaamini kwamba ana mamlaka ya kuzuia kodi hizoalipewa job description?
Msikilize vzr acha kukurupuka wapi kasema amefuta kodi?Hana mamlaka ya kuagiza yeye anaweza kushauri au kupendekeza tu asijipe mamlaka asiyokuwa nayo.
Kampe wewe au babakoalipewa job description?
Tatizo ni kutokuwa na elimuHana mamlaka ya kuagiza yeye anaweza kushauri au kupendekeza tu asijipe mamlaka asiyokuwa nayo.