GE2025 Baba Levo aahidi kulipa jina soko la Kipampa "Wasafi night market"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mtia nia ya kugombea Ubunge jimbo la Kigoma Mjini Babalevo ameahidi kulipa jina soko lililopo kata ya Kipampa wilayani humo.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ametoa ahadi hiyo kwa wajumbe wa kata hiyo mapema hii leo wakati akiomba kura kwa wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi za kupata ridhaa ya kugombea Ubunge jimbo la Kigoma Mjini.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…