Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Ushamba wenu na majikwezo yaishie Afrika tena siyo nchi za Kiarabu kwa wafia dini. Muwe mnasoma mazingira ya nchi unayoenda kama watu wakubwa na pesa zao wamezuiliwa kutumia vilevi na kutangaza ushoga sasa wewe kapuku mwenzangu uliyeenda kwa sponsorship ya Wasafi TV jifanye mjuaji mjanja wa town kumbe umetoka Kigoma huko mipaka ya Burundi.
Kuweni makini vijana, siyo kila unapokutana na binti wa Kiarabu nikumshika mkono na kumbusu mpaka unamwachia mate, siku wakikunasa kamati ya roho mbaya utajuta na hakuna wakukutoa labda aende Mama mnayempigia promo anaupiga mwingi hapo utachomolewa bangili. Hao ni Waarabu syio Mashalove wala Zuchu. Shaulileni!