Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Anaenda kututangaza watangaza hatuna akiliAnaendeleza Uchawa Uarabuni watamnyea mdomoni.
Anajua nini mshamba yuleTULIA MKUU PUNGUZA JAZBA KUNYWA MAJI TARATIIIBU
HUYO BABA LEVO NI MTU MZIMA ANAJUA ANACHOKIFANYA
TusiombeeNgoja aingie kwenye 18 zao
Weka picha tuone anavyo faidika huko QatarUshamba wenu na majikwezo yaishie Afrika tena sio nchi za kiarabu Kwa wafia dini. Muwe mnasoma mazingira ya nchi unayoenda...
Tena wana mafuta yakiarabu wakimmiminia tu inateleza utaskia *habibiii come to QatarWatamgeuka atajuta
Ohoooo sawaKwani amewalazimisha? Kama hajawalazimisha basi haina tatizo..
Wapi umeona watu wamezuiwa kutumia vilevi??Ushamba wenu na majikwezo yaishie Afrika tena sio nchi za kiarabu Kwa wafia dini. Muwe mnasoma mazingira ya nchi unayoenda kama watu wakubwa na pesa zao wamezuiliwa kutumia vilevi na kutangaza ushoga sasa wewe kapuku mwenzangu uliyeenda Kwa sponsorship ya wasafi TV jifanye mjuaji mjanja WA town kumbe umetoka kigoma huko mipaka ya Burundi.
Kuweni makini vijana, sio kila unapokutana na binti wa kiarabu nikumshika mkono na kumbusu mpaka unamwachia mate, siku wakikunasa kamati ya Roho mbaya utajuta nahakuna wakukutoa labda aende mama mnaempigia promo anaupiga mwingi hapo utachomolewa bangili. Hao ni waarabu sio mashalove Wala zuchu. Shaulileni
UwanjaniWapi umeona watu wamezuiwa kutumia vilevi??
Linabwata kama tahila flan, yani kinachofanyika ni upunguwaniNi lifala fulani.
Wamteke wamuoe tu hatumhitaji huku jitu la kupayuka ujinga.
HaijitambuiMkuu sio warabuni tu hii tabia za kutania tania wanawake kwa kuwashika hovyo hovyo iko Africa tu, kwa sababu ni jamii iliyo jaa mambo ya hovyo na wenye tabia ya kufanya mambo kiholela holela.
Hata ulaya ambako tunasema kuna uhuru ukithubutu kumgusa mwanamke bila ridhaa yake na akakushitaki utajikuta kwenye matatizo makumbwa na wakati mgumu sana.