Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Zamani CCM ilikuwa Ina think tanks ambao pia walikuwa ni mouthpiece za chama, sijui nini kimetokea mpaka wakachange gear na kuanza kumtumia mtu kama Baba Levo kwenye mambo yao.
Baba Levo kwa sasa anazunguka mikoa yote kuonesha miradi aliyofanya Samia.
Ni Baba Levo huyu huyu ambaye alishawahi kusema kuwa yuko tayari "kumzalia" Diamond na ni huyu huyu ambaye anajulikana kwa tabia zake za kucheza kamari.
Kwanini kazi hii asingeifanya Nape au hata Mwana FA?
Hizi ni dalili kuwa hiki chama kinapumulia mashine