Kazi iendeleeWakuu,
Zamani CCM ilikuwa Ina think tanks ambao pia walikuwa ni mouthpiece za chama, sijui nini kimetokea mpaka wakachange gear na kuanza kumtumia mtu kama Baba Levo kwenye mambo yao.
Baba Levo kwa sasa anazunguka mikoa yote kuonesha miradi aliyofanya Samia.
Ni Baba Levo huyu huyu ambaye alishawahi kusema kuwa yuko tayari "kumzalia" Diamond na ni huyu huyu ambaye anajulikana kwa tabia zake za kucheza kamari.
Kwanini kazi hii asingeifanya Nape au hata Mwana FA?
Hizi ni dalili kuwa hiki chama kinapumulia mashine
View attachment 3234518
kwamba hili nalo linawafanya wasio wanaCCM wababaike na kukasirika ndrugo zango?Wakuu,
Zamani CCM ilikuwa Ina think tanks ambao pia walikuwa ni mouthpiece za chama, sijui nini kimetokea mpaka wakachange gear na kuanza kumtumia mtu kama Baba Levo kwenye mambo yao.
Baba Levo kwa sasa anazunguka mikoa yote kuonesha miradi aliyofanya Samia.
Ni Baba Levo huyu huyu ambaye alishawahi kusema kuwa yuko tayari "kumzalia" Diamond na ni huyu huyu ambaye anajulikana kwa tabia zake za kucheza kamari.
Kwanini kazi hii asingeifanya Nape au hata Mwana FA?
Hizi ni dalili kuwa hiki chama kinapumulia mashine
View attachment 3234518
Wenye chama wameona B Levo ndiye anayestahili kukipaisha chama ili Chura Kiziwi akubalike, kama hauko kwenye level za kupanga on how the strategies should be set, kaa pembeni waachie 'wenye chama'.Wakuu,
Zamani CCM ilikuwa Ina think tanks ambao pia walikuwa ni mouthpiece za chama, sijui nini kimetokea mpaka wakachange gear na kuanza kumtumia mtu kama Baba Levo kwenye mambo yao.
Baba Levo kwa sasa anazunguka mikoa yote kuonesha miradi aliyofanya Samia.
Ni Baba Levo huyu huyu ambaye alishawahi kusema kuwa yuko tayari "kumzalia" Diamond na ni huyu huyu ambaye anajulikana kwa tabia zake za kucheza kamari.
Kwanini kazi hii asingeifanya Nape au hata Mwana FA?
Hizi ni dalili kuwa hiki chama kinapumulia mashine
View attachment 3234518
Ana media huyu?Hiyo ni strategic business plan. Anaitangaza media yake kiaina, anatengeneza content za media, anapata support ya serikali na wadhamini na mwisho anapata mpunga zaidi. Tusimlaumu Anakula kwa akili zake.
Mwijaku na Baba Levo they're just one and the same kwenye upande wa ukichaa wa kujitoa ufahamu, Baba Levo anampiga bao mwenzake kwenye connections na unajua connections ndiyo kila kitu katika maisha yaani ni zaidi ya elimu pia ni zaidi ya nidhamu.Mtaalamu wa kuandika proposal (Mwijaku) kazidiwa tena kete na Babalevo kupata tender.
Anayo, inaitwa Seven Media. Ni online Media.Ana media huyu?
Wenye chama wameona B Levo ndiye anayestahili kukipaisha chama ili Chura Kiziwi akubalike, kama hauko kwenye level za kupanga on how the strategies should be set, kaa pembeni waachie 'wenye chama'.
Understanding level ya majority ya Watanzania Baba Levo ni mtu muhimu zaidi ya Nape, Mwana FA, Wasira na hata Majaliwa. Nasikia huko Bongo alishinda kwamba ndiyo the current Top Influencer nchi nzima.
Bongonyoso, haihitaji akili ku-thrive.
Hao ndio wanaoruhusiwa kuonana nae akienda Waziri anapigwa danadana nyingi sanaKwanini kazi hii asingeifanya Nape au hata Mwana FA?
Hizi ni dalili kuwa hiki chama kinapumulia mashine
Dunia ndio inawataka hawa watu, hivyo chama kimeona ni bora kuwatumia.
Watanzania wanapenda umbeya na Instagram na huko ndio pande za baba levo kwa akili ya kawaida jamaa wa chama wamecheza kete vizuri.
kwa hiyo tusihoji kodi zetu zinavyotumika hovyokwamba hili nalo linawafanya wasio wanaCCM wababaike na kukasirika ndrugo zango?
na nyie si mkakague maendeleo ya vyama vyenu huko mikoani ama mmezuiwa?
nongwa na gubu ni kitu mbaya sana