Wamemaliza kwa vyombo vya habari sasa wanaingia kwenye nyumba za Ibada kusambaza bahasha. Kwanini siku zote asichangie?
Your browser is not able to display this video.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM, Baba Levo leo Oktoba 19, ameshiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa la FPC Majengo, ambapo alihudhuria kama mgeni rasmi. Katika kuunga mkono juhudi za taasisi za kidini, Baba Levo alitoa mchango wa shilingi milioni 5 kwa ajili ya kusaidia shughuli za kwaya ya kanisa hilo, kufuatia ombi lililotolewa na viongozi wa kanisa.
Hii ndio shida ya kupitisha watu hopeless kugombea. Zitto tayari amepata ushahidi wa kupinga ushindi wake. Kwa mahakama zenye akili huo ushindi unatenguliwa