Baba Levo: Kitambi cha Peter Msechu ni cha kulogwa na mzee wa Kigoma baada ya kumtia mimba binti yake.

Huyo ni diwani na mwingine ni nani yake.. Hadi kumsema hivyo?
 
Jamani pole yake... Yaan ukipewa picha enzi anaibuka BSS / Maisha Plus kama sikosei alikuwa handsome balaa... Ila sasa aisee anahitaji maombi kiukweli
yaani nyie wanawake mnaangaliaga tu u hand some nothing more
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…