Baba Levo: Natamani nife wa kwanza kabla ya Diamond, akitaka lolote ntamfanyia. Wadau wamfananisha Baba Levo na Gigy Money

Hivi ni huyu aliyekiwa anawawakilisha wanachi wa kata ya Mwanga Kigoma ujiji? au ni mwingine
 
Senior CHAWA πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ
 
Kwamba amesema yuko tayari kumpa "chochote" kweli?
Huyo anaelekea kutafunwa kabisa maana unapomwambia mwanaume mwenzio kuwa uko tayari kumpa "chochote" atakachohitaji sasa ikitokea mtu kakuomba "MOBITEL" utamlaumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…