Baba Levo: Natamani nife wa kwanza kabla ya Diamond, akitaka lolote ntamfanyia. Wadau wamfananisha Baba Levo na Gigy Money

Nilikua namkubal Sana zaman Siku hiz sijui kawaje, imagine kuwa na Baba kama Baba levo, mxieew, kuna umri mwingine kuwa chawa hata haipendezi, Sijui hana ndugu wa kumshauri , yani umaskin mbaya sana , tusomeshe tu watoto wetu
Mie ule mwili wake na mambo anayofanya nabaki hoi kwa kweli.
 
Kwamba amesema yuko tayari kumpa "chochote" kweli?
Huyo anaelekea kutafunwa kabisa maana unapomwambia mwanaume mwenzio kuwa uko tayari kumpa "chochote" atakachohitaji sasa ikitokea mtu kakuomba "MOBITEL" utamlaumu?
Hata CELTEL itatolewa tyuuh hakna namna, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilikua namkubal Sana zaman Siku hiz sijui kawaje, imagine kuwa na Baba kama Baba levo, mxieew, kuna umri mwingine kuwa chawa hata haipendezi, Sijui hana ndugu wa kumshauri , yani umaskin mbaya sana , tusomeshe tu watoto wetu
hahahaha
 
Chawa anaesomesha watoto Shule kali kama tusiime wakati kuna watu wapo maofisini ni degree zao miaka kibao lakini buuureeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…